Hatima ya Vibwengo 4: Filimbi ya Kichawi

Hatima ya Vibwengo 4: Filimbi ya Kichawi

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Mshauri wa Mfalme, Mchawi, amembaini Deizi na jeshi lote la Vibwengo. Mmea usionyauka na mama yake Deizi, Veronika, wanakuja kuwaweka huru. Lakini wataweza kuwapita wanajeshi wote wa Mfalme mwenye Majivuno na uchawi wa Mshauri wa Mfalme? Hiki ni kitabu cha nne katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi Shupavu Moyo wa Jabali Makaburi Yaliyosahaulika Filimbi ya Kichawi

Detalles de eBook

Opiniones de clientes

No reviews have been written for this book.

También te gustará

EPUB