Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

Hatima ya Vibwengo 3: Makaburi Yaliyosahaulika

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Mahali fulani ndani sana kwenye mlima kuna fimbo takatifu ambayo inaweza kumzidi nguvu Mfalme mwenye Majivuno, ambaye ni adui mbaya zaidi wa Vibwengo. Lakini hakuna anayejua ilikofichwa. Je, Mkwamba na Rafiki zake wanaweza kuipata sehemu ilikofichwa kabla hawajachelewa? Hiki ni kitabu cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi Shupavu Moyo wa Jabali Makaburi Yaliyosahaulika Filimbi ya Kichawi

Detalles de eBook

Opiniones de clientes

No reviews have been written for this book.

También te gustará

EPUB