Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 2

Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 2

Liv Løkke anafanya kazi kwenye duka la jumla la Netto lililoko Paderup, kama mhudumu katika eneo la kulipia. Anachukia mji huo, yeye mwenyewe, kazi yake, na maisha yake yasiyo na umuhimu; na hata hana haja ya kuwaangalia wanunuzi kujua ni akina nani. Anajua watu wengi kwenye eneo hilo na mitindo yao ya ununuzi. Lakini siku moja, inambidi amwangalie mteja fulani aliyenunua bidhaa ambayo ilimkumbusha maisha yaliyopita, na siku ile yenye mkasa ambapo alimuokoa kaka yake kutoka kwa nyumba iliyokuwa ikiteketea moto, baada ya mlipuko wa gesi kumuua mamake. Ni yeye... mpenzi wa mamake. Anadai kuwa na ushahidi kuwa kifo cha mama yake hakikuwa ajali.

Book details

Reviews

No reviews have been written for this book.

You will also like

Audiobook (MP3 File)

Audiobook (MP3 File)

EPUB

Audiobook (MP3 File)